top of page
IMG_20151123_143705_edited.jpg

Kuhusu mimi

Hi!

Naitwa Rukhsana Noor, Nina Shahada ya Sayansi katika fani ya TEHAMA (Teknolojia ya habari na mawasiliano) ICT Kutoka chuo cha Open University of Tanzania, kupika ni moja ya hobbies nilizonazo, huwa napenda kutumia muda wangu wa ziada kujifunza mapishi mbalimbali, wazo la kuanzisha blog nililipata baada ya kuona njia rahisi ya mimi kuweza kushare ujuzi wangu na wengine ni kutumia teknolojia mbalimbali za habari zinazotuzunguka, nikaona Blog ni njia mojawapo ninayoweza kuitumia.natumai utaipenda blog yangu na kujifunza mengi. KARIBU!

© 2020 by Roxy recipes. All rights reserved

  • ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooroxyrecipes Instagram Account
bottom of page